Mtakwimu, Jovitha Rugemalila akiwa na Mkutubi wa Nilam Mgassa kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakitoa elimu kwa wadau  wa Takwimu waliotembelea maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofanyika nje ya ofisi ya Taifa ya Takwimu jijini Dar es Salaam, ambapo ofisi hiyo hutoa elimu kwa wadau na wakazi wote wa jiji ambao hupata fursa ya kukutana na wataalam mbalimbali kutoka ofsi hiyo.Picha na Humphrey Shao wa Globu ya Jamii.
 Mtakwimu, Jovitha Rugemalila akiwa na Mkutubi wa Nilam Mgassa kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Royola ya Jijini Dar es Salaam ambao walifika katika eneo hilo kwa ajili ya kujifunza masuala ya takwimu.
Mtakwimu, Jovitha Rugemalila , akitoa elimu ya masuala ya Takwimu kwa mmoja wa wadau wa Takwimu waliofika kujifunza katika maenesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika mbele ya ofisi hiyo iliopo barabara ya kivukoni Jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...