Kamanda wa Polisi Mkoani
Tanga,Benedict Wakulyamba akizungumza na waendesha pikipiki maarufu kama
bodaboda wilaya Muheza wakati wa ufunguzi wa mpango wa kutoa elimu
waendesha bodaboda mkoani hapa ambao ulihudhurwa na wadau mbalimbali
ikiwemo madereva wa bodaboda kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama
barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah kushoto ni Kaimu Mkuu wa
Polisi wilaya ya Muheza (OCD) ambapo aliwataka madereva wa bodaboda
kuacha kutumika kuwabeba wahamiaji haramu na dawa za kulevya kwani
watakaokamatwa hawatapona
Kamanda wa kikosi cha Usalama
barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah akizungumza katika kikao
hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba na
kulia ni Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald
Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya
Muheza,(OCD) akizungumza katika kikao hicho kulia ni Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi
Mtendaji wa APEC Bahati Alex
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji
wa APEC Bahati Alex akizungumza katika kikao hicho wa pili kulia ni
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto mwenye miwani
ni Kaimu Meneja wa
Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...