THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

MICHUZI TV: SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO


 Omar, Mtoto wa Marehemu Abdulcisco Mtiro akiweka mchanga  kwenye kaburi la Baba yake
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ally Hassan Mwinyi, akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdulcisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
  Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdulcisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
 Wazirio Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdulcisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
 Jaji Mkuu Mstaafu  Mhe. Othman Chande,akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdulcisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
 CDF Mstaafu  Jenerali Davis Mwamunyange akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdulcisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda, akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdulcisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
 Balozi Ben Mashiba akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdulcisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
Balozi ,Abdulhaman Shimbo, akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Balozi Abdul Cisco Mtiro katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA