THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. maturamatara Anasema:

    Vifaa hivi ni muhimu katika mapinduzi ya kilimo, However tunahitaji plani nzuri ya kufanikisha mapinduzi hayo. Kwanza suala zima la mkopo tusiliweke kwa individual farmers ONLY, badala yake halmashauri/kaya ndo ziwe mlengwa mkubwa wa kuchukua hiyo mikopo na ningeomba serikali iwatake wakope hizi pembejeo kwa LAZIMA then wakulima mmoja mmoja au vikundi watakodisha hizi pembejeo kwa ajili ya mashamba yao. Halmashauri hizo zitakuwa na wajibu wa kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kutumia pembejeo hizo ili zoezi la kukodisha liwe kubwa.Mapinduzi ya kilimo hayatafanikiwa kwa kubembelezana.Wizara ya kilimo inabidi iwe na ubunifu wa hali ya juu kwa kutunga sharia mpya za kuwabana watu kulima kilimo cha kisasa.