Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Vifaa hivi ni muhimu katika mapinduzi ya kilimo, However tunahitaji plani nzuri ya kufanikisha mapinduzi hayo. Kwanza suala zima la mkopo tusiliweke kwa individual farmers ONLY, badala yake halmashauri/kaya ndo ziwe mlengwa mkubwa wa kuchukua hiyo mikopo na ningeomba serikali iwatake wakope hizi pembejeo kwa LAZIMA then wakulima mmoja mmoja au vikundi watakodisha hizi pembejeo kwa ajili ya mashamba yao. Halmashauri hizo zitakuwa na wajibu wa kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kutumia pembejeo hizo ili zoezi la kukodisha liwe kubwa.Mapinduzi ya kilimo hayatafanikiwa kwa kubembelezana.Wizara ya kilimo inabidi iwe na ubunifu wa hali ya juu kwa kutunga sharia mpya za kuwabana watu kulima kilimo cha kisasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...