Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hapa UK huwezi kupata shahada yoyote ya juu, mfano diploma au degree bila kuwa na cheti cha kiwango cha GCSE cha somo la kiingereza.
    Mheshimiwa Waziri Mkuu anapotamba kuwa serikali yake inatambua umuhimu kwa kiswahili anathibitishaje?
    Kwa maneno au vitendo?
    Wanahabari wengi Tanzania wanatumia Kiswahili kibovu mno. Wanasiasa, mfano wabunge, kiswahili chao kina dosari kedekede. Vijana wengi walioajiriwa na televisheni za Tanzania kiswahili chao mseto!
    Sasa kwa ushahidi gani mheshimiwa tukubali kauli yake?
    Je magazeti, redio na televisheni zetu zinakaguliwa na nani kuhakikisha kiswahili kitumikacho ni fasaha?
    Maana kwa wenzetu huku, hivyo ndivyo vyombo vikuu vya kufundishia lugha fasaha na kuna msukumo wa kutosha kuhakikisha kiingereza chao kiko kwenye ubora.
    Vinginevo tukubali tu, kama tulivyozoezwa kukubali kwanba "zilongwa mbali, zitendwa mbali!"
    Mndengereko Ukerewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...