THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

WAZIRI MWAKYEMBE AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KAMUSI KUU MPYA YA KISWAHILI


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Marko Mwipopo Anasema:

    Naisifu sana wizara kupitia waziri Mwakyembe, na serikali ya awamu ya 5 kwa ujumla. Inasikitisha Watanzania tunashindwa kujifunza na hasa hatuijui lugha yetu. Halafu hata Kiingereza tunachong'ang'ania, hakina fursa nyingi kama inavyodhaniwa kwa Watanzania. Hivi ni Watanzania wangapi wanahitaji kufanya biashara nje au ndani na lugha pekee inayowezesha mawasiliano iwe Kiingereza? Let's be serious. Nampongeza rais wangu na serikali yake. Najua kuna wengi tu watakaopinga hili. Hao ndio wanaopenda kutengeneza matabaka Tanzania. Wangependa mafanikio ya wachache tu. Na ndiyo maana wao huwapeleke awatoto kwenye hizo shule za Kiingereza ili watoto wao waje kuutawala. Tunasema NO!