Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naisifu sana wizara kupitia waziri Mwakyembe, na serikali ya awamu ya 5 kwa ujumla. Inasikitisha Watanzania tunashindwa kujifunza na hasa hatuijui lugha yetu. Halafu hata Kiingereza tunachong'ang'ania, hakina fursa nyingi kama inavyodhaniwa kwa Watanzania. Hivi ni Watanzania wangapi wanahitaji kufanya biashara nje au ndani na lugha pekee inayowezesha mawasiliano iwe Kiingereza? Let's be serious. Nampongeza rais wangu na serikali yake. Najua kuna wengi tu watakaopinga hili. Hao ndio wanaopenda kutengeneza matabaka Tanzania. Wangependa mafanikio ya wachache tu. Na ndiyo maana wao huwapeleke awatoto kwenye hizo shule za Kiingereza ili watoto wao waje kuutawala. Tunasema NO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...