Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akimkabidhi Kamusi kuu ya Kiswahili Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene leo Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi - MAELEZO,DODOMA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...