Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi.Mkutano huo ulioandaliwa na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi nchini Tanzania (APHFTA),unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili  jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason, Globu ya Jamii.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) pamoja na viongozi wengine wa meza kuu wakimshikiliza Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akitoa hotuba yake katika kungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje, unaofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi. Mkutano huo ulioandaliwa na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi nchini Tanzania (APHFTA),unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili  jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason, Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...