Kada wa CCM na Mwanachama wa UVCCM James R.Mwakibinga  amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi Ya Uenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi. Fomu hizo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi Mkuu Organaizesheni ,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa UVCCM Ndg.Ramadhani Kizinga  Ofisi ndogo Ya Makao Makuu Ya UVCCM Upanga Dar Es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...