THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

KAMPUNI YA HUAWEI KWA KUSHIRIKIANA NA EMINENCE GROUP YASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA MAKAMPUNI YALIYO KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO AFRIKA

 Maafisa wa Eminence Group wakimsikiliza mdau wa sekta ya mawasiliano aliyetembelea banda la Huawei katika katika kongamano la makampuni yaliyo katika sekta ya mawasiliano Afrika (Mobile 360 Conference 2017) ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Technologies Tanzania Bw Gao Mengdong wa pili kutoka kulia katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Eminence Group katika kongamano la makampuni yaliyo katika sekta ya mawasiliano Afrika (Mobile 360 Conference 2017)