Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mhe. Omary Kumbilamoto akihutubia wakazi wa Vingunguti wakati wa mkutano wake wa Hadhara wa kutekeleza ahadi alizoaahidi katika kata hiyo.
 wakazi wa Vingunguti  wakiwa katika mkutano huo wa Diwani wao Omary Kumbilamoto
 Diwani wa viti Maalum wa Chama cha Wananchi CUF  kata ya Upanga, Riziki Shahari akikabidhi jezi kwa timu ya mtaa wa Kwa Kombo
 Bondia wa Ubingwa wa kati wa zamani Rashid Matumla akikabidhi mpira kwa Veterani wa Vingunguti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...