Home
Unlabelled
KUVUNJA BODI YA BARAZA LA TAIFA LA HIFADHI YA USIMAMIZI WA MAZINGIRA (NEMC), MABADILIKO YA UONGOZI NEMHATUA ZA KUHARAKISHA NA KURAHISISHA MCHAKATO WA KUPATA CHETI CHA EIA KWA WAWEKEZAJI WA VIWANDA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hatua nzuri ya kuboresha uendeshaji WA NEMC lakini muundo WA mfumo WA EIA Clearance bado Ni tatizo hadi NEMC iwe Authority Ni kuharakisha huduma! Sheria na Kanuni zirekebishwe kusudi zibebe uharaka unaotakiwa. Waziri Mazingira ndiye mtoa Cheti hivyo Cheti kuchelewa Ni tatizo la mfumo unaotaka Doc na EIA Repoti viende kwa Waziri kupitia tena wakati ofisini yake inashiriki ktk mapitio yote!!
ReplyDeleteKuhamisha watu nimeipenda kwani culture ya kupokezana vyeo ilikuwa imekera sana kiasi cha watu kugawana Vyeo kienyeji.
Kurugenzi nyingine Ni lazima zifutwe kwani hazina Matokeo yoyote yaliyo critical!Mfano DEPR na DEICO hazina umuhimu!....They could be Depts in say DECE! Also EIA could be a Dept in DECE. Then we have two Directorates of Admin and Finance and DECE....Finished....