Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hatua nzuri ya kuboresha uendeshaji WA NEMC lakini muundo WA mfumo WA EIA Clearance bado Ni tatizo hadi NEMC iwe Authority Ni kuharakisha huduma! Sheria na Kanuni zirekebishwe kusudi zibebe uharaka unaotakiwa. Waziri Mazingira ndiye mtoa Cheti hivyo Cheti kuchelewa Ni tatizo la mfumo unaotaka Doc na EIA Repoti viende kwa Waziri kupitia tena wakati ofisini yake inashiriki ktk mapitio yote!!
    Kuhamisha watu nimeipenda kwani culture ya kupokezana vyeo ilikuwa imekera sana kiasi cha watu kugawana Vyeo kienyeji.
    Kurugenzi nyingine Ni lazima zifutwe kwani hazina Matokeo yoyote yaliyo critical!Mfano DEPR na DEICO hazina umuhimu!....They could be Depts in say DECE! Also EIA could be a Dept in DECE. Then we have two Directorates of Admin and Finance and DECE....Finished....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...