Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza Rais wa Sudan ya Kusini Mhe. Jenerali Taban Deng Gai ambapo mazungumzo yao yalihusu kuendelea kudumisha mahusiano baina ya nchi hizi mbili.
Mazungumzo hayo yamefanyika wakati mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika ukiendelea, jijini Addis Ababa, Ethiopia. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Home
HABARI
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...