Mke wa Waziri Mkuu  Mary  Majaliwa  ametoa Wito kwa Wazizi kupeleka  Watoto wa Kikeke  Shule  ametoa  wito huo katika  mkutano wa hadhara  Uliofanyika  Kiwanja cha  Michezo wilaya ya Liwale July 10, 2017 ,Mama Majaliwa  ameongozana na Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa  katika ziara ya kikazi  ya siku Nne  Mkoani   Lindi.Pcha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa  akiangalia dawa zilizopo katika Stoo ya Hospital ya  Wilaya ya Liwale July 10, 2017. Kushoto  kwa  Waziri  Mkuu  ni  Mbunge wa Liwale (CUF), Zuberi  Kuchauka  na  kulia ni  Mganga Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dr Maulid Manjala. Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa  yupo  katika ziara ya kikazi  ya siku Nne  Mkoani Lindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...