Abiria wakiwa wamevalia maboya maalumu ya kujiokolea ndani ya Boti ya MV. Mkongo inayosimamiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA). Boti hiyo inatoa huduma za usafiri katika mto Rufiji kati ya Utete na Mkongo wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Boti za raia zilizokua zikitumika kuvusha abiria katika Mto Rufiji kati ya Utete na Mkongo kabla ya ujio wa Boti ya MV. Mkongo kuletwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) zikiwa zimepakia abiria tayari kwa kuanza kuwavusha.
Boti za raia zilizokua zikitumika kuvusha abiria katika Mto Rufiji kati ya Utete na Mkongo kabla ya ujio wa Boti ya MV. Mkongo kuletwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) zikiwa zimepakia abiria tayari kwa kuanza kuwavusha.
Mkuu wa Kivuko cha Magogoni/Kigamboni Mhandisi Lukombe King’ombe akizungumza na waandishi wa Habari wa TBC1 waliotembelea kivuko hicho leo asubuhi na kufanya nae mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi cha Jambo Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...