THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

MATUKIO YALIYOJIRI KWENYE MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAMOctavian Nshiu Makamu wa Rais Viwanda Shirika la TCCIA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa shirika hilo katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaa,
Baadhi ya wadau wa TCCIA wanaoshughulika na mavazi ya viwandani na ujenzi wakiwa katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam