Msanii wa Muziki wa Kughani Mrisho mpoto akitoa burudani kwa wadau katika Viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba kwa kuwakumbusha juu ya Utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya bonde la Ngorongoro hili kuweza kujionea vivutio Mbalimbali
Mwanamuziki BizMan wa InAfrica Band akipiga Kinanda cha wimbo wa Mrisho Mpoto katika onesho la kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia
Waimbaji wa bendi ya Mpoto Theatre ,Ismail na Fery wakiimba wimbo wa waite katika onesho la kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia
Msanii Stara Thomas akiimba pamoja na Mrisho Mpoto katika shoo kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Wasanii wa kikundi cha Mpoto Theatre Group wakitoa burudani kwa wadau kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Wasanii wa bendi ya In Africa wakimsindikiza Mrisho mpoto kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Mpiga Tumba wa InAfrica Band Ras Pompidou akipiga tumba kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Sehemu ya wadau kutoka bonde la Ngorongoro wakiwa wanafuatilia shoo ya Mrisho Mpoto
Mpiga gitaa wa InAfrica band Roy Figuiredo ambao wameshirikina a Mpoto Theatre wakati wa kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...