Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali waliokuwa katika Ukumbi wa Mikutano wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkabishi tuzo Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Rwekaza Mukandala ambao wameibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, Maonesho hayo yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam.Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi tuzo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba baada ya Kampuni yake kuibuka washindi sekta ya mawasiliano, katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017,Maonesho hayo yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa TPDC.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi kwa niaba ya moja ya taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem  ambao waliibuka washindi wa tatu wa jumla katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, Maonesho hayo yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...