Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT)  Bw. Gulamhafeez Abubakar Muccadam akizungumza na Waandishi wa habari juu ya Mkutano mkuu wa ALAT Taifa unaotarajiwa kufanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao ambao Rais Dkt John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ALAT  Bw. Stephene Mhapa akifuatiwa na Diwani wa kata ya Maboga Iringa Veny Muyinga
 Kaimu Katibu Mkuu wa ALAT  Abdallah Shaban akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo juu ya mkutano Mkuu wa Taifa wa Alat
 Makamu Mwenyekiti wa ALAT  Bw. Stephene Mhapa  akisisitiza jambo kwa Wandishi wa habari juu mkutano mkuu wa taifa utakao fanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao Mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...