Sehemu ya watumishi wa umma wa Wilaya ya Kigamboni walioshiriki katika ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam
 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dkt. Bakari Mbwana akitoa hoja wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki kuzungumza na watumishi wa umma na kutatua kero zao leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam
 Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Hashim Mgandilwa akitoa taarifa fupi ya watumishi wa wilaya yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (kulia) alipofanya ziara ya kikazi katika wilaya hiyo leo Jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki akizungumza na watumishi wa umma wa Wilaya ya Kigamboni (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kikazi katika wilaya hiyo leo Jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...