Marehemu  Patricia Ndenengo Shang'a enzi za uhai wake.

Familia ya marehemu Mzee Michael John Shang'a ya Msasani Beach (Mlalakua darajani) jijini Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao  dada mpendwa Patricia Ndenengo Shang'a kilichitotokea  July 13, 2017  hapo nyumbani.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumamosi July 15, 2017. Msiba upo hapo hapo nyumbani Mlalakua darajani. 
Habari ziwafikie Familia zote za Shang'a, Kimesera, Mosha, Mmari, Ngowi, Mmasi pamoja na  ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo.
Mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni katika makaburi ya Kinondoni Lang'ata jijini Dar es salaam. 
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI  PEMA PEPONI-AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...