Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji Dr. A. P Makakala, akitiliana saini Makubaliano na Dkt. Lu Youqing, Balozi wa China nchini kuhusu
Msaada wa Vifaa vya TEHEMA vya thamani ya Shilingi 33 Milioni kwa Chuo
cha Uhamiaji cha Kikanda Moshi, toka
Serikali ya Watu wa China kupitia Ubalozi wake nchini, Mjini Moshi. Nyuma
Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Mhandisi
Hamad Massauni akishuhudia tukio hilo.
Naibu Waziri wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni aliyesimama nyuma
katikati, akishuhudia utiaji saini wa
Mkataba wa Makabidhiano ya ya msaada uliotolewa kwa Chuo cha Uhamiaji cha
Kikanda, Moshi na Serikali ya Watu wa China uliofanywa na Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Dk. A.P Makakala na Balozi wa China nchini, Mhe.Balozi Lu Youqing, Mjini
Moshi.
Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji Dr. A. P Makakala, akielezea matumizi ya moja ya vyumba vya Maktaba ya
Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda cha Moshi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni na , Mhe.Balozi Lu Youqing, kabla
ya tukio la kupokea Msaada wa Vifaa vya TEHEMA vya thamani ya Shilingi 33
Milioni toka Serikali ya Watu wa China,
Mjini Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...