Msiba wa Marehemu Shaaban Dede upo  Mtaa wa Congo na Msimbazi jijini  Dar es salaam. Kwa mujibu wa mwanae Hamad Dede mazishi yatafanyika kesho adhuhuri katika makaburi ya Kisutu baada ya swala ya Ijumaa. 
Hamad Dede amesema mwili wa marehemu utaswaliwa katika msikiti wa Makonde mtaa wa Msimbazi na Nyamwezi baada ya swala ya  Ijumaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...