Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Singida United, kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Kocha wa Singida United Hans van der Pluijm, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni, 5, 2017 katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba, katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Sadiq Murad wa Mvomero (kushoto) na Salim Turky wa Jimbo la Mpendae (kulia) katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...