Mkurugenzi wa Udahili wa Global Education Link Ltd Zakia Nassor akimuelezea jambo Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Moudline Castico wakati alipotembelea banda Global Eductaion Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.
Mtaalamu wa Udahili wa Global Education Link Medadi Sota akimuelezea Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Moudline namna ya kuwasaidia wanafunzi kudahili wanafunzi katika nchi mbalimbali wakati alipotembelea banda la Global Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.
Wanafunzi wakiendelea kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kupata mwongozo wa wa namna ya kujiunga na vyuo vya nje ya nchi kupitia Global Education Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...