THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201Tume ya vyuo vikuu nchini TCU imetangaza mfumo mpya kwwa kuomba nafasi ya kusoma vyuo mbalimbali hapa nchini; https://youtu.be/_1aKVh0VNrA
Waziri Prof.Makame Mbarawa autaka uongozi unaosimamia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kufanya marekebisho ndani ya uwanja huo; https://youtu.be/f76RK0Bq6Oc
Wakazi wa mkoani Lindi walia na uhaba wa mafuta kutokana na mamlaka ya mapato TRA kufunga vituo ambavyo havina mashine ya EFD; https://youtu.be/F9s6RrOtGOc
Tazama mazungumzo kwa kina kutoka kwa msanii wa muziki wa Bongofleva Barnaba akizungumzia safari yake ya muziki hapa nchini http://simu.tv/Jllvf5A
Waziri wa Ujenzi Prof. Makame Mbarawa awataka wakazi Tabora kulinda miundombinu ya uwanja wa ndege wa Tabora. https://youtu.be/sRAbKNGdqFk
Naibu waziri Selemani Jafoa amewataka viongozi wa halmashauri kupeleka michango ya watumishi katika mifuko ya hifadhi ya jamii; https://youtu.be/0k7Hs2h3vM8
Naibu waziri wa elimu Mhandisi Manyanya aitaka manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam kuboresha miundombinu ya shule za msingi; https://youtu.be/G7BTtHJwRMw
Serikali imeanza ujenzi wa shule maalum kwa watoto wenye ulemavu wa kusikia wilayani Arumeru katika kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu; https://youtu.be/46wgxBHzfWA