Tazama
makala maalum inayoelezea suala la ukusanyaji kodi katika maeneo ya
mipaka ya nchi ya Tanzania kwa ajili ya kuleta maendeleo chini; https://youtu.be/oxQL_wQ6SUY
Madiwani watatu CHADEMA halmashauri ya wilaya ya Hai mkoa Kilimanjaro wamejiuzuru nafasi zao na kujiunga na CCM; https://youtu.be/IvUWc32ug-Y
Watu watano wameuawa kwa kuchomwa moto wilayani Nzenga mkoani Tabora kwa tuhuma za imanai ya kishirikiana; https://youtu.be/xZbxBi8v0k0
Mkuu
wa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma ameiagiza serikali ya kijiji cha
Segeri kurudisha ardhi ya mwananchi aliyedhulumiwa na kiongozi wa
serikali; https://youtu.be/qhRJ-JxSjBg
Mkuu
wa mkoa wa Mbeya ametoa siku 20 kwa maafisa ardhi wa Mbeya kumaliza
migogoro yote ya ardhi kabla ya kuchukuliwa hatua kali; https://youtu.be/Wyz6s5x1jYg
Baraza
la madiwani halmashauri ya Mpanda wametoa kauli ya kutaka fedha za
jimbo zirejeshwe kutokana na miradi mingi kusimama kwa muda mrefu; https://youtu.be/KSSi0QoxC9Y
Viongozi vyama vya ushirika mkoani Arusha wametakiwa kutatua changamoto zinazovikabili vyama vya ushirika mkoani humo; https://youtu.be/G2hLqpyB2DQ
Fuatilia mazunguzmo kuhusu nafasi ya kilimo kwa maendeleo ya uchumi wan chi na kipi kifanye kuboresha kilimo nchini Tanzania; https://youtu.be/Gy3YNZi8H7k
Kampeni
ya Rais Magufuli ya kumtua mwanamke ndoo kichwani imeanza kutekelezwa
jijini Mwanza kwa mbunge wa Kwimba kuchimba visima 11. https://youtu.be/_nnxol7tWJg
Wananchi manispaa ya Songea wameamua kujenga zahanati ili kuondokana na kutembea umbali mrefu kwenda kupata huduma za afya; https://youtu.be/I_IMojm3ydQ
Bohari
ya dawa nchini MSD imesema uanzishwaji wa maduka ya dawa umeleta
mafanikio makubwa katika upatikanaji wa dawa kwa wananchi; https://youtu.be/JwZZSutNBHM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...