Mshindi  wa shindano la Miss Grand Tanzania, Batul Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kazi atakazozifanya za kijamii katika kipindi cha mwaka mmoja na matarajio yake katika kuwania taji la Dunia. Wengine pichani ni Mrembo wa Dunia  wa shindano la Miss Grand International 2016, Ariska Mchammed (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa Shindano la Miss Grand International,Teresa Chaivisut. 
  Mrembo wa Dunia  wa shindano la Miss Grand International 2016,Ariska Mchammed akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kazi za Miss Grand International hapa nchini.
  Muandaaji wa Shindano la Miss Grand International hapa nchini, Happyness O'shen  akizungumza juu ya Safari ya mrembo huyo kwenda Thailand.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...