Mwanaume mmoja wa makamo mkaazi wa mkoani Morogoro nchini Tanzania amekutana na adha kubwa  ya maisha baada ya kukimbiwa na mke wake wa ndoa huku sababu kuu ikitajwa kuwa maradhi ya kisukari yanayo mkabili mwanaume huyo kwa muda mrefu. 


Shuhuda wa kisa hiki
ameeleza kuwa, mwanamke huyo baada ya kumkimbia mume wake wa ndoa, amehamia kwa mwanaume mwingine ambae anaishi katika nyumba jirani na ananapoishi mume wake huku akimuacha mumewe akiwa anateseka na maradhi ya kisukari pasi na msaada wowote ! 
Kusoma zaidi habari hii na kusikia sauti...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...