Pichani ni eneo la stendi mpya na ya kisasa ya mabasi mjini Korogowe Mkoani Tanga, iliyozinduliwa rasmi na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo. 
Sehemu ya Wananchi wa Korogwe wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye eneo la stendi hiyo, kumsikiliza Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kabla ya kuizindua rasmi leo.
  Muonekano wa mbele wa stendi mpya na ya kisasa ya mabasi mjini Korogowe Mkoani Tanga, iliyozinduliwa rasmi na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...