Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kushuhudia uzinduzirasmi wa Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya mji wa Korogwe mkoani Tanga katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza madiwani na viongozi wengine baada ya kuzindua rasmi Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Kigoda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli waakitoa heshima zao kwenye kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Handeni Marehemu Alhaj Dkt. Abdallah Kigoda nyumbani kwa marehemu mjini Handeni katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani Tanga leo Agosti 7, 2017. Pamoja nao ni mjane wa marehemu Mama Kigoda, dada wa Marehemu Mhe, Asha Kigoda na mtoto wa marehemu ambaye pia ni Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Omari Abdallah Kigoda, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella na Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Handeni katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017.
Wakati akirejea Dar es salaam Rais Mgufuli alisimamishwa na umati mkubwa wa wananchi waliokaa barabarani wakimsubiri apite maeneo ya Bunju A wilaya ya Kinondoni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Ikabidi asimamishe msafara na kuzungumza nao.
Rais Dkt. Magufuli akiongea na umati mkubwa wa wananchi uliomsimamisha maeneo ya Bunju A wilaya ya Kinondoni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...