Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi  akifurahia  baada ya kumvika Pete mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata huko maeneo ya Jacaranda jijini Mbeya.
  Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete
  Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete.
 Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata na mzaa chema baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete. Uongozi wa Michuzi Blog unawatakia wapendanao hawa maandalizi mema ya siku yao ya kumeremeta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...