Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na
Utamaduni cha Sultan Qaboos,”Sultan Qaboos Higher Center for Culture and
Science” Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami mara alipowasili katika ufunguzi
Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya Magharibi ‘B”
Mkoa wa Mjini Magharibi leo,uliojengwa na Serikali ya Zanzibar kwa
kushirikiana na Serikali ya Oman
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili
katika ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya
Magharibi ‘B” Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambao umejengwa na Serikali ya
Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili
katika ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya
Magharibi ‘B” Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambao umejengwa na Serikali ya
Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman

Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein alipofuatana na Viongozi mbali mbali wakiwemo Kituo Kikuu cha
Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,”Sultan Qaboos Higher Center for
Culture and Science” wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Msikiti
Masjid Jaamiu Zinjibar baada ya kuufungua rasmi leo,ambao umejengwa
Mazizini Wilaya Magharibi ‘B” Mkoa wa Mjini Magharibi kwa Ushirikiano wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa Oman,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo Kikuu cha
Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,”Sultan Qaboos Higher Center for
Culture and Science” Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami wakati alipotembelea
sehemu mbali mbali mara alipofungua Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar
uliopo Mazizini Wilaya Magharibi ‘B” Mkoa wa Mjini Magharibi
leo,uliojengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya
Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akipokea Shahada na Ufunguo kutoka kwa Mkuu wa Kituo
Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,”Sultan Qaboos Higher
Center for Culture and Science” Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami kama ishara
ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Jaamiu Zinjibar leo uliojengwa kwa
Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa
Oman katika maeneo ya Mazizini Wilaya Magharibi ‘B” Mkoa wa Mjini
Magharibi,Picha na Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...