Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Profesa John L. Thornton akiwasili Dar kwa ndege maalum Jumanne jioni kuhudhuria mazungumzo ya biashara ya madini ya dhahabu, maarufu kama MAKINIKIA baada ya majadiliano ya kina, baina ya wataalamu wa Tanzania na wa Kampuni hiyo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa takriban miezi mitatu sasa. Hii ni mara ya pili Profesa  Thornton kuja Tanzania kwa shughuli hiyo.


Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Profesa John L. Thornton akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa JNIA,jiji Dar kwa ndege maalum Jumanne jioni kuhudhuria mazungumzo ya biashara ya madini ya dhahabu, maarufu kama MAKINIKIA baada ya majadiliano ya kina baina ya wataalamu wa Tanzania na wa Kampuni hiyo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa takriban miezi mitatu sasa. Hii ni mara ya pili kwa Profesa Thornton kuja Tanzania kwa shughuli hiyo.
o

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...