THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

WANAFUNZI WA KAWE SEKONDARI WAPEWA ELIMU YA KUJITAMBUA IKIWEMO NA KUPIMA AFYA ZAO

 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kawe, wakishiriki maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani kwa kushiriki semina iliyoandaliwa kwa pamoja na taasisi ya Her Initiative na TAHMEF kwa ajili ya kutoa elimu hya kujitambua, ushauri wa kitaalamu na kupima afya za mabinti, semina iliyofanyika shuleni hapo, jana.