THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

WAZIRI MBARAWA ASISITIZA JUU YA KUWATUMIA WAHANDISI VIJANA KATIKA MIRADI MIKUBWA NCHINI

 Waziri wa  Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Wahandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi  wa Mlimani City Jijini  Dar es Salaam
 Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akikabidhi zawadi kwa Mwalimu wa shule ya Sekondari Royola , Venancy Robert mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla kwa sekondari zote nchini
 Waziri wa  Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa ,  kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Royola, Ashraf Raphael mara baada ya kuibuka bingwa wa kitaifa katika uandishi wa Insha
 Washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,Prof Makame Mbarawa.
Waziri wa  Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Insha za uhandisi wa majengo
PICHA ZOTE NA HUMPHREY SHAO