Mkuu
wa Mkoa wa Arusha ,Mh Mrisho Gambo kwa Ushirikiano na Naibu Waziri wa
Mifugo (Mhe Ulega) pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia
Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,mapema leowa wamezindua zoezi la
Upigaji Chapa Mifugo Kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro.
Mh
Mrisho Gambo aliesma kuwa kampeni hiyo itasaidia Ku-Control movement ya
mifugo kutoka ndani na nje ya nchi, kuipa serikali uwezo wa kuwatambua
na kuwahudumia wafugaji wetu. Mtu yoyote atakaye hujumu zoezi hili hatua
kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake! Deadline ya kuhitimisha
zoezi hili ni tarehe 30 Januari 2018 kwa mkoa wa Arusha!
Uongozi unao acha alama!
Uongozi unao acha alama!
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha ,Mh Mrisho Gambo kwa Ushirikiano na Naibu Waziri wa
Mifugo (Mhe Ulega) pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia
Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,mapema leo akishiriki kuzindua kampeni
ya Upigaji Chapa Mifugo Kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...