Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro akikagua ajali iliyotokea
kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186
AKX, iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo
imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi
wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro wa kwanza mkono wa kulia
akiangalia ajali iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni
ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda
Mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma –
Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara
ya kikazi siku mbili.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, alievaa nguo ya kijani
akishilikiana na wananchi kupata ufumbuzi wa magari yaliokuwa yamepata
ajali kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no
T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali
hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi
wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, akipokelewa na maafisa wa
Jeshi la Polisi mkoani katavi baada ya kuwasili mkoani humo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro akiagana na wananchi
waliokuwa wamepa ajali baada ya kuhakikisha ufumbuzi wao wa kuondoka
umepatikana, ajali hiyo iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la
kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi
kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya
Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa
na ziara ya kikazi siku mbili.Picha Na Jeshi La Polisi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...