Msemaji Mkuu wa Serikali,Dkt Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa msisitizo alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari mapema leo kwenye ofisi za Idara ya Habari MAELEZO mjini Dodoma,mambo mbalimbali ikiwemo na kuwakaribisha rasmi katika ukumbi mpya wa MAELEZO hapa Dodoma,kwamba Idara imeshahamia rasmi Dodoma na huduma zote zitakuwa zikitolewa hapo.Pichani kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO,Rodney Thadeus
 Msemaji Mkuu wa Serikali,Dkt Hassan Abbasi akizungumza na Waandishi wa habari mapema leo kwenye ofisi za Idara ya Habari MAELEZO mjini Dodoma,mambo mbalimbali ikiwemo na kuwakaribisha rasmi katika ukumbi mpya wa MAELEZO hapa Dodoma,kwamba Idara imeshahamia rasmi Dodoma na huduma zote zitakuwa zikitolewa hapo.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza  Msemaji Mkuu wa Serikali,Dkt Hassan Abbasi alipokuwa akitolea ufafanuzi mambo mbali ikiwemo ripoti ya IMF mapema leo kwenye ofisi za Idara ya Habari MAELEZO mjini Dodoma,pamoja na kuwakaribisha rasmi Wanahabari hao katika ukumbi mpya wa MAELEZO hapa mjini Dodoma,kwamba Idara imeshahamia rasmi Dodoma na huduma zote zitakuwa zikitolewa hapo.Pichani kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO,Rodney Thadeus.PICHA NA MICHUZI JR-DODOMA.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...