Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti
la mikono mirefu akikagua baadhi ya majengo ya kituo cha afya cha Nduruma ambayo yapo kwenye ujenzi wakati wa ziara
yake Jijini Arusha leo.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wa kwanza kulia akiangalia
kwa makini dawa zilizopo kwenye hifadhi ya dawa ya kituo cha afya cha Nduruma
wakati alipotembelea kituo hiko kwenye ziara yake jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile katikati akiangia mojawapo
ya nyenzo za kuhifadhia dawa za maji
(syrup) katika kiwanda cha kuzalisha dawa nchini TPI wakati alipotembelea kiwanda hiko kwenye
ziara yake jijini Arusha, kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa TPI Bi. Zarina Madaba.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wa pili kulia akipata maelekezo namna kiwanda
cha TPI kinavyofanya kazi ya kuzalisha dawa muhimu nchini kutoka kwa Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa TPI Bi. Zarina
Madaba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...