Fuatilia bei za matunda mbalimbali katika masoko ya jiji la Dar es Salaam kwa kuanzia Soko la Mabibo kama anavyotusimulia Chalila Kibuda
 Baadhi ya wanunuzi na wauzaji katika soko hilo wakiwa katika pilikapilika sehemu ya ushushaji ndizi katika mikoa mbalimbali.
 Bei ya Ndizi inauzwa katika sokoni hapo inauzwa kati ya Sh.15000 hadi Sh.25000 kwa mkungu.
 Bei ya Parachichi ni kati ya Sh.200 hadi Sh.700.
 Bei ya Passion kwa kilogram moja ni sh. 2000. 
 Bei ya tikiti kati ya sh. 1000 hadi 3000 katika soko la Mabibo.
 Bei ya Boga ni sh. 1500 hadi sh.3500 katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam.
 Bei ya Embe ni Sh.600 hadi 700 katika soko la Mabibo.
Bei ya Ndizi Mbivu inauzwa kati ya Sh. 100 hadi Sh.150.

Taarifa hizi zimeandaliwa na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...