Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of
Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya kufanya nae mazungumzo
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of
Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya kufanya nae mazungumzo
Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni mtoto wa Profesa Mahalu
ambaye ni Mwanasheria wa Kujitegemea Jaji Costa Mahalu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na mtoto wa Profesa Mahalu ambaye ni Mwanasheria wa Kujitegemea
Jaji Costa Mahalu mara baada ya kumaliza mazungumzo na Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...