Mama wa Mtoto Shaibu Alifa akiwa anampeleka mwanae Shule, ambaye anasoma shule ya msingi Mchangani iliyopo wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma. Kampuni ya D and G Export Ltd inayofanya kazi ya kununua korosho katika wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imemsaidia baiskeli ya Miguu minne (wheelchair mpya) mtoto Shaibu Alifa mwenye ulemavu wa miguu pamoja tani 3 za saruji kwa ajili ya kukarabati vyoo shuleni ya Mchangani, ujenzi wa zahanati ya Chikomo na kuboresha jengo la tarafa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...