Mchezaji
wa team Z,ya Ilala akijaribu kuwatoka wachezaji wa team Kiba wakati wa
Bonanza la Castle 5s(5-aside) lililofanyika Viwanja vya Sigara Tabata
mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo ataiwakilisha inchi ya
Tanzania katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyka Zambia.
Mchezaji
wa team Kiba,ya Ilala akijaribu kuwatoka wachezaji wa team Simba wakati
wa Bonanza la Castle 5s(5-aside) lililofanyika Viwanja vya Sigara
Tabata mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo ataiwakilisha
inchi ya Tanzania katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyka
Zambia.
Mchezaji
wa timu Kiba,ya Ilala akijaribu kufunga wakati wa mechi ya Bonanza
dhidi ya timu Simba wakati wa Bonanza la Castle 5s(5-aside)
lililofanyika Viwanja vya Sigara Tabata mwishoni mwa wiki.Bingwa katika
mashindano hayo ataiwakilisha inchi ya Tanzania katika mashindano ya
Afrika yanayotarajiwa kufanyka Zambia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...