Askofu Dkt Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mh.Edward Lowassa leo katika ibada ya Ijumaa Kuu
 Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) akiomgoza ibada ya   ya i\Ijumaa Kuu leo jijini Dar as Salaam.Picha na Emmanuele Massaka,Globu ya jamii
Waziri Mkuu wa zamani Mh.Edward Lowassa (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na waumini wengine kwenye ibada ya Ijumaa kuu leo jiji Dar as Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...