Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

SWALI ambalo mashabiki wa msanii na mwigizaji wa filamu nchini Snura Mushi kama atatoa wimbo mpya au filamu ,jibu swali kupatikana Aprili mwaka huu.

Kwa muda mrefu mashabiki wa muziki na Watanzania wamekuwa wakiuliza kupitia mitandano ya kijamii ni lini Snura atavunja ukimya kwa kuja na kituo.

Akizungumza leo Dar es Salaam,Menaja wa Snura,anayejulikana kwa jina la Hemed Kavu a.k.a amesema swali hilo ni fumbo kubwa.

Hata hivyo amesema Aprili mwaka huu Snura atakuja na ujio mpya katika medani ya muziki pendwa wa Bongo Fleva.
"Matarajio yetu ni kwamba Snura Aprili mwaka huu atavunja ukimya kwa kuweka wazi kuhusu swali hill lenye hastah ya Vumbi LA mguu," amesema HK.
Uwezo,kipaji, kukata nyonga,sauti na mvuto wa Snura umemfanya kuwa na umaaarufu wake katika medani ya muziki wa kizazi kipya na filamu za kibongo kwa ujumla.
"Matarajio yetu ni kwamba Snura Aprili mwaka huu atavunja ukimya kwa kuweka wazi kuhusu swali hill lenye hastah ya Vumbi LA mguu," amesema HK.
Hivyo kwa sasa mashabiki wanasubiri kwa hamu kubwa kuona nini ambacho mwanamuziki huyo amekiandaa kwa ajili yao maana hajawahi kukosea.
"Matarajio yetu ni kwamba Snura Aprili mwaka huu atavunja ukimya kwa kuweka wazi kuhusu swali hill lenye hastah ya Vumbi LA mguu," amesema HK.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...