Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kulia), wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.  Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja BInafsi wa nbc, Filbert Mponzi.
 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto), akimsikiliza  Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa NBC, Filbert Mponzi wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kulia), akimsikiliza  Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kushoto), wakati Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa benki hiyo, Filbert Mponzi akiangalia  wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...